Vichwa vya Magazeti ya Leo: Wanaomhofia Lowasa kugombea Urais Watajwa Soma Gazeti la Wajibika Ujuzwe watu hao!

Pata nakala ya Gazeti la Wajibika linalotoka kila siku ya Jumatatu ambapo wikii hii kuna kali zifuatazo:

-Wanaomhofia Lowasa kugombea Urais Watajwa pamoja na kuoneshwa picha zao.
-Mnunuzi viungo vya Albino akamatwa na kiganja Dar.
-Majengo ya Umma yanatesa walemavu
-Gesi asilia kuifanya Tanzania moja ya Nchi Tajiri Duniani
Upande wa Michezo kuna kali zifuatazo;
-Simba, Yanga zaanza kupigana vikumbo
-Sterling abakie Liverpool kwa sasa
-Je, ni wakati sasa wa Walcott kuondoka Arsenal ?
- Je, wamfahamu dogo wa Arsenal anayeelekea kuzima ndoto za Carl Jenkso kwa sasa ? pata nakala yako ujue zaidi.

Pata nakala yako sasa kwa shilingi 800/- pesa taslimu za Kitanzania popote ulipo gazeti la wajibika linapatikana soma sasa upate kufahamu yaliyofichwa kwani wajibika linawafichua uovu wote ulijificha.

Wajibika ni gazeti la habari za uchunguzi, zilizoandikwa kitaalamu na kuhaririwa kwa makini ambalo sasa linaingia katika Jamii kwa kasi kubwa. Ni gazeti jipya lakini wafanyakazi wake, ikiwa ni pamoja na Mhariri Mtendaji, Wahariri wa habari na makala, wasanifu na wapiga picha, wamebobea katika tasnia ya habari na mawasiliano ya Umma.

Gazeti hili litawaibua waovu wote bila ya uoga wala upendeleo, hata kama wanajifanya ni "watu wa Mungu" au miungu watu, wakijisifu kuwa ni maarufu mno kiasi cha kutoshikika au kukamatika.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment