Breaking News: Hatimaye Mgomo wa Madereva Kuisha Hivi Punde

Madereva wametangaza kumaliza mgomo baadaa ya kufikia muafaka na mkuu wa wilaya ya kinondoni Paul Makonda na kuundwa kwa kamati itakayosimamia matatizo ya madereva na kutoa taarifa baada ya siku saba.

Mabasi ya mikoani kutoka ubungo sasa yameanza safari baada ya mgomo wa takribani siku 2 kumalizika hivi punde.

Makubalio yaliyofikiwa ni kuundwa kwa kamati ya madereva zaidi ya nane watakaokutana na mkuu wa wilaya kuanzia kesho. Kamati iliyoundwa inatakiwa kujadili madai yao kwa muda usiozidi siku 7 kwa usimamizi wa mkuu wa wilaya Paul Makonda
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment