Vichwa vya Magazeti ya Leo: CCM Ikimtema Lowasa Urais, Itang'oka Ikulu

-   
Baadhi ya wadau wetu wakisoma kwa umakini Gazeti la Wajibika 
Pata nakala yako ya  Gazeti la Wajibika upate kufahamu kinachoendelea ndani ya Serikali kuhusiana na Mchakato wa Uchaguzi pamoja mauaji ya wanafunzi 147 huko Nchini Kenya kisa kizima kipo ndani ya gazeti la wajibika linaibua na kufichua yote yaliyofichwa ndani ya serikali pamoja na taasisi ya Umma 

SSerikali yabariki wizi wa Escrow,
Ø  Yakubali kupokea kodi ya fedha chafu.
Ø  Wananchi: Huku ni kumotisha mafisadi.

    -Uislamu si Ugaidi kama wengine wanavyodai.
-CCM ikimtema Lowasa urais, itang’oka Ikulu
-Albino 74 wauawa!!
-Uroho wa madaraka wa viongozi husababisha mauaji ya wananchi.
-Nchi maskini barani Afrika zazaa viongozi tajiri kupindukia.
-Laptop huleta ugumba
-Wanasoka Brazil wakimbilia China.
-Kiongera arejea Simba.
-Eden Hazard: Nyota wa Chelsea asiye na Makuu,
Ø  Ni mwanasoka wa tatu bora duniani.

- Kanumba alipenda Lulu awe mkewe, si mshikaji.

PATA NAKALA YAKO SASA KWA SHILINGI 800/- TU POPOTE ULIPO UTALIPATA WAJIBIKA.

Wajibika ni gazeti la habari za uchunguzi, zilizoandikwa kitaalamu na kuhaririwa kwa makini ambalo sasa linaingia katika Jamii kwa kasi kubwa. Ni gazeti jipya lakini wafanyakazi wake, ikiwa ni pamoja na Mhariri Mtendaji, Wahariri wa habari na makala, wasanifu na wapiga picha, wamebobea katika tasnia ya habari na mawasiliano ya Umma.

Gazeti hili litawaibua waovu wote bila ya uoga wala upendeleo, hata kama wanajifanya ni "watu wa Mungu" au miungu watu, wakijisifu kuwa ni maarufu mno kiasi cha kutoshikika au kukamatika.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment