Jery Muro: Simba ni Timu Ndogo Kwetu na Siyo Watani wa Jadi



Katika hali isiyokuwa ya Kawaida Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Simba Godfrey Nyange Kaburu ameungana na mashabiki wa timu ya Simba kumkebei mkurugenzi mkuu wa habari wa klabu ya Yanga Jery Muro kwa kumwita Jeny Muro mara baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0.
Mjumbe wa klabu ya Simba Iddi kajuna ndiye aliyekuwa wa kwanza kusema kuwa ni vyema Jery muro ajitokeze kuzungumzia mchezo kama alivyofanya awali, hali hiyo imetokana na Jery kusema kuwa simba ni timu ndogo kwao na siyo watani wa jadi.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment