Breaking News: Tunaomba Radhi kwa Picha hizi, Bus la Majinja Express Limegongana na Lori Uso kwa Uso

Habari zilizotufikia hivi punde kutoka kwa mwandishi wetu aliyopo eneo la tukio anatueleza kwamba 

Abiria zaidi ya 40 wamefariki dunia kwenye basi la Majinja ambalo lilikuwa likitokea Mbeya kwenda Dar baada ya kufunikwa na kontena maeneo ya Mafinga mkoani Iringa muda huu habari zinasema watu wanne tu ndiyo walionusurika.



Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments: