Wema Sepetu Afunguka Kuhusu Wimbo wa “Ntampata Wapi”

Wema Sepetu ambaye anafanya filamu za kibongo ameeleza kuwa wimbo wa “Ntampata Wapi” ulioimbwa na aliekuwa mpezi wake, Diamond Platnumz hakuimbiwa yeye, hii ni kutokana na watu wengi kudhani kuwa wimbo huu alitungiwa yeye ukizingatia kuwa wakati wimbo huo unatoka ndio kilikuwa kipindi wametoka kuachana.
“Wema amesema hayo hivi karibuni alipokuwa Arusha alipohojiwa na kituo cha Radio5 kuwa hii nyimbo hakuniandikia mimi….because nilikuwa naisikia hii nyimbo hata wakati tulipokuwa kwenye uhusiano amekuwa akiimba, akiandika kwahiyo ilikuwa tu ni moja ya nyimbo zake kama anavyoandika nyimbo zote lakini nadhani tu timing ya kutoka ndio kidogo imekuwa na utata because kaitoa timing ambayo watu wote wakadhani kamuimbia Wema but in real sense noo,” aliongeza Wema.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment