Chadema Yazindua Operesheni 'Shahada Mkononi delete CCM'

Shinyanga, Tanzania. Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amezindua operesheni 'Shahada Mkononi Delete CCM' katika mikutano yake ya hadhara inayoendelea mkoani Shinyanga.

Amesema operesheni hiyo ni kuhakikisha kwamba watu wanajiandikisha kwa wingi kwa lengo la kuiondoa madarakani CCM.

"CCM wajiandae kisaikolojia kuondoka madarakani, sisi tunakuja," amesema Mbowe leo katika mkutano wa hadhara.
  
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment