Breaking News: Basi la Arusha Express Lapata Ajali, Lagongana na Lori Maeneo ya Kisongo


Habari zilizotufikia hivi punde kutoka kwa mwandishi wetu aliyopo eneo la tukio anatujuza kwamba Basi la Arusha Express kutokea Arusha kwenda mbeya limepata ajali mkoani Singida limegongana na lori maeneo ya Kisongo Airport.

Habari kamili itakujia hivi punde
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment