Spika Anna Makinda Asema Haitambui Ukawa




















Mbunge wa Ubungo, John Mnyika amehoji Bungeni hivi punde kwanini Serikali imekuwa ikiwakataza Ukawa na viongozi wa dini kuzungumzia kura maoni kuhusu Katiba inayopendekezwa.

Kutokana na swali hiyo Spika Anna Makinda amemwambia Mnyika bungeni kwamba haitambui Ukawa na hivyo kumtaka waziri mwenye dhamana, Ummy Mwalimu kujibu swali lake. Waziri huyo amesema kuwa wakati ukifika watatoa maoni yao na kwamba Serikali itaendelea kusimamia msimamo wake kwa kuwa wameona serikali mbili ndio inayofaa.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment