Breaking News: Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Kesi ya Zitto Kabwe Dhidi ya Chadema

Muda mfupi uliopita Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na ndugu Zitto Kabwe dhidi ya CHADEMA mwaka 2014 kupinga uamuzi wa chama hicho kumtimua.

Pia, Mahakama Kuu imemuamuru Zitto kulipa gharama zote za Kesi.
Mahakama imeamua kwamba Chadema kinaweza kuendelea na hatua zaidi dhidi ya Zitto Kabwe.

Jopo la wanasheria wa Chadema likiongozwa na Mheshimiwa Peter Kibatala na John Mallya litazungumza na wanahabari muda mfupi ujao.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment