Anna Tibaijuka Awakera Wananchi kwa Kauli Chafu Aliyoitoa Dhidi ya Sakata la ESCROW

KAULI ya aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Anna Tibaijuka kuwa kiasi cha shilingi milioni 10 alizotoa haraka kutoka katika akaunti ya Tegeta Escrow alizowekewa na mfanyabiashara James Rugemalila zilikuwa ni za mboga, imewakera Wananchi wengi kiasi cha kumshambulia na kumuita mwenye dharau iliyopitiliza. 

Walisema kauli hiyo inaonyesha jeuri waliyonayo watumishi wa umma, ambao hupata fedha nyingi kwa njia zisizo halali kiasi cha kufikia hatua ya kukufuru.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment