Sauti: Zitto Kabwe Sina Taarifa Rasmi ya Chochote Ambacho Kimetokea Ndio Maana Ninaendelea na Kazi.

Hiki ndicho alichokisema Zitto Kabwe baada ya  Uongozi wa CHADEMA kutangaza kumsimamisha Uanachama Mbunge huyo.
Mimi ninaendelea na kazi kama hakuna kilichotokea.. Sina taarifa rasmi ya chochote ambacho kimetokea ndio maana ninaendelea na kazi.. Maamuzi yoyote ambayo yanatokea ni process. Hata ikiwa kwa mfano maamuzi ya chama ni kama ilivyotangMazwa kuna process ya kuandika barua kwa Spika.. Spika kujiridhisha..

Minutes za vikao kwa sababu maamuzi yote ni lazima yafanywe na vikao sio mtu mmoja.. then Spika ananiandikia mimi… Kama nyinyi mnavyosikia kwenye vyombo vya habari na mimi hivyi hivyo nasikia… siwezi kujibizana na Chama changu“– Zitto Kabwe.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment