Mkuu wa chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji kwa
Vitendo, PRACTICAL SCHOOL OF JOURNALISM, anakutangazia muhula mpya wa masomo ya
uandishi wa habari na utangazaji kwa Vitendoutakaoanza Mwezi wa Tatu (March),
2015 kwa ngazi ya (Basic Certificate) Cheti NTA Level 4 pamoja na (Ordinal Diploma) Astashada NTA 5 na 6.
Chuo kimesajliwa na Nacte
No.REG/BTP/023P. Chuo Kina Studio za Kisasa za Radio, Tv pamoja na Gazeti.
Huduma za Hostel zinapatikana katika mazingira mazuri pamoja
na chakula muda wote.
Fomu zinapatikana Chuoni Tegeta
Kwa mawasiliano zaidi;
TEL. +255 22 2630 162
MOB. +255 782 707 030 / +255 764 424 555
Email: psjournalism14@gmail.com
Wote Mnakaribishwa
0 comments:
Post a Comment