Juma Nature Nikigombea Ubunge Temeke Napata Bila Wasi Wasi

Wasanii wameonekana kuhamia kwenye jukwaa la siasa, Mr. II (Sugu), Prof. Jay, Afande Sele na wengine wametangaza pia kuingia huko. 

Juma Nature akiongea na 255 ya Clouds Fm amesema alipanga kufanya hivyo na watu walimfuata, kwa mwaka huu ameona asigombee, kama angegombea Ubunge Temeke anaamini angepita.


Juma alisema akipata nafasi ya kuwa Mbunge jambo la kwanza kufanya kwa wananchi wake ni kushughulikia barabara ya Mbagala, Hospitali pamoja na Soko.
Msanii huyo amesema atagombea Ubunge kupitia chama chochote atakachoona kina msingi mzuri
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment