Haji Sunday Manara Ndie Msemaji Mpya wa Simba

UONGOZI wa Simba umemtangaza mwandishi wa habari wa siku nyingi,Haji Sunday Manara kuwa msemaji mpya wa klabu hiyo ya wekundu wa Msimbazi.

Katibu mkuu wa Simba Steven Ally ameiambia Globu ya Jamii kuwa Manara atachua nafasi ya Humphrey Nyasio ambaye atapangiwa majukumu mengine.

"Kamati ya Utendaji ya Simba imemkabidhi jukumu Manara baada ya kujiridhisha pasi na shaka uzoefu wake katika masuala ya michezo na pia uzoefu wake katika mambo mbalimbali ya kiutawala, hivyo kuwa na imani kwamba ataifanya kazi yake vizuri kama walivyofanya watangulizi wake."alisema Ally.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment