Spika Makinda Awakemea Wabunge Kuacha Ushabiki wa Vyama

Spika wa Bunge  Anne Makinda,amewataka Wabunge kuwa makini na kuacha ushabiki wa vyama, wakati wa kuchangia masuala muhimu ya kutunga Sheria za nchi.
Makinda amewataka wabunge kuwasilisha maombi ya mapendekezo ya kurekebisha sheria kwa kujikita kwenye mambo yenye manufaa kwa taifa.
Spika ameongeza kuwa, hayupo tayari kupokea mapendekezo ya Marekebisho ya Miswada iliyokiuka utaratibu.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment