Jeneza lililobeba mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM marehemu John Damiano Kumba ukipokelewa katika uwanja wa ndege wa Songe na umati mkubwa wa waombolezaji wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mhe.Mwambungu, Mhe.John Nchimbi, Mbunge wa Songea Mjini,na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Mark Mwandosya, kulia.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akiongoza maelfu ya wakazi wa Songea kwa kutoa salaam za rambirambi za Mkoa. Wa pili kulia ni Mama Shumbusi, Katibu wa CCM Mkoa, wa tatuu kulia ni Waziri Mwandosya,wanne kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma
Marehemu anatarajiwa kuzikwa kijijini kwake Lituhi, Wilaya ya Nyasa, Kesho.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment