Picha: Jokate Mwegelo Aibuka Kidede Zidi ya Elizabeth Michael ‘Lulu” Katika Shindano la Urembo na Mvuto

Muigizaji wa filamu hapa bongo na Mwanamitindo Jokate Mwegelo na Elizabeth Michael ‘Lulu”. hivi karibuni walishindanishwa kwa urembo na muonekano katika picha zinazoonekana mitandaoni nchini na Jokate Mwegelo kuibuka msindi kwa kumshinda mshindani wake ,Elizabeth Michael ‘Lulu”. 

Mtandao mmoja wa hapa nchini umeendesha zoezi la kuweka picha zao kali zinazowaonesha wote wawili wakiwa na muonekano na picha kali huku wakiuliza nani zaidi ya mwenzake.Jokate ameibuka mshindi kwa kupigiwa kura tano huku watu wakimsifia kuwa ni wa kimataifa zaidi ambapo Lulu alionekana kupigiwa kura na mtu mmoja.  

Akizungumzia ushindi huo Jokate aliwashukuru Watanzania kwa kumpenda na kumpa nafasi lakini aliwasihi kwa kuwaambia kuwa yeye aonavyo wote ni warembo.“Mimi naona sisi wote ni warembo, nawashukuru Watanzania walionichagua na kuniona nafaa,” alisema Jokate


Source: GPL
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment