Taswira Kutoka Bungeni Dodoma ...

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa akielezwa jambo na
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Lukuvi katika
viwanja vya Bunge, mjini Dodoma jana.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akifurahia jambo
na Mbunge wa Viti Maalumu,Mh.  Zainabu Vullu katika viwanja vya bunge
walipohudhuria kikao cha pili cha mkutano wa 18 wa Bunge mjini Dodoma jana.
Credit: Michuzi

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment