Mbunge wa Ubungo Mheshimiwa JOHN MNYIKA amewasilisha kwa Katibu wa Bunge taarifa ya hoja binafsi kuhusu kile alichodai kuwepo udhaifu wa mchakato wa mabadiliko ya katiba.
Anataka Bunge lijadili udhaifu wa ukiukaji wa sheria katika mchakato huo ili lipitishe azimio la kuahirisha mchakato huo mpaka madhaifu ya msingi yatakaposhughulikiwa
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment