Breaking News: Bus la Kampuni ya Meridian Lapata Ajali Hivi Punde Maeneo ya Mkata

 Gari ndogo ikiwa imeharibika vibaya baada ya kugongana na Basi la Meridian

 Habari zilizotufikia hivi punde kutoka kwa mwandisho wetu aliyopo eneo la tukio anatuarifu kutokea kwa ajali iliyotokea maneno ya Mkata barabara ya kwenda Mikoa ya kaskazini.

Ajali hiyo imehusisha basi la abiria la Meridiani pamoja na gari ndogo binafsi lenye namba za usajili T977 CTE ambapo dereva wa gari hilo dogo amenusurika kifo katika ajali hiyo.

Wasamaria wema wakinasua dereva wa gari ndogo



Dereva wa Gari ndogo akiwa haamini kama amepona

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment