Breaking News: Mwenyekiti wa CUF Alamba Kipigo Kutoka kwa Askari Wakati wa Maandamano, Jijini Temeke Muda huu.

Jeshi la polisi limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa chama cha wananchi CUF waliokuwa wakiandamana kwa ajili ya kukumbuka ya mauaji ya wenzao waliofariki huko Pemba Mwaka 2001.

Kwenye maandamano hayo alikuwepo mwenyekiti wake Profesa Ibrahimu Lipumba ambapo inaarifiwa kwa amepata kipigo na kuumia sehemu mbali mbali huku waandishi wa habari wakikutana na kadhia hiyo hali ambayo imewafanya wafanye kazi zao kwenye mazingira magumu.

Maandamano hayo ambayo yalikuwa na wafuasi wa CUF yamefanyika Mtoni kwa azizi alliTemeke jijini Dar Es Salaam ambapo wameshindwa kuendelea na maandamano hayo kutokana na nguvu kubwa iliyotumika eneo hilo huku watu wakikimbia ovyio ovyio ili kujinusuru ingawa inaelezwa wapo walio pata majera mbali mbali.

Chanzo cha sakata hili hadi kuzuiliwa na kupigwa na mabomu ya machozi Endelea kufuuatilia Habari zetu utafahamu kwa kina.

Credit: tambarare
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment