Serikali Imewaomba Radhi Wananchi Waliokumbwa na Kipigo kutoka kwa Polisi katika Maandamano ya (CUF)

Serikali ya Tanzania imewaomba radhi wananchi wote waliokumbwa na kadhia ya mabomu na vipigo kutoka kwa polisi katika maandamano ya Chama cha Wananchi (CUF) yaliyofanyika juzi Mbagala Jiji Dar es Salaam ambao hawakuhusika na maandamano hayo.
Akitoa tamko bungeni Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mathias Chikawe amesema kilichotokea juzi ni uvunjaji wa sheria kwa makusudi katika kutaka umaarufu na kuonewa huruma na wananchi, kauli ambayo ilipingwa na wabunge wa upinzani kwa kupaza sauti.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment