TBC Inafanya Hujuma kwa Upinzani Bungeni!

Baadhi ya Wananchi na wadau mbalimbali ambao leo wapo makini kusikiliza Bunge tukufu kupitia moja kwa moja TBC lakin wamekuwa na mashaka juu ya Chombo hicho kutokana na kufanya mchezo ambao wao wanadai ni ufisadi.

Mmoja wa Wadau hao alinukuliwa akisema "Kuna mchezo unaendelea kwa kukata matangazo wabunge wa upinzani wanauliza maswali. Ameanza Joshua Nassari hakusikika akafuatiwa na Deo Sanga wa CCM akasikika, akaja Zitto hakusikika akafuata Diana Chiroro wa CCM akasikika, akafuata Conchesta Rwamulaza kuuliza swali la msingi hakusikika lakini majibu ya waziri yakasikika. Akaja Amina Mwidau wa CUF hakusikika lakini majibu ya Mh Kawambwa na swali la nyongeza la Prof Msolwa yakasikika! Akafanyiwa Agripina Buyogera NCCR, akafuatiwa na Bwanausi CCM akasikika.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment