Audio: Mrema Atoa Tamko Kali Asema 'Bado Niko Ngangari siumwi, Wanaopita Jimboni Imekula Kwao' !

Mwenyekiti wa TLP, Agustino Mrema, amesema wanaomtangazia kwamba ni mgonjwa na hawezi kutetea ubunge wake wa Vunjo ni wa kupuuzwa na waongo, yeye sio mgonjwa anapeta na yuko fiti kwa mujibu wa ripoti ya daktari wake wa India na wanaodhani atakufa basi wanajidanganya hafi mtu.

Bofya PLAY update kusikia alichokisema mwenyewe

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment