Kafulila: Simbachawene Hana Weledi Kuwa Waziri wa Nishati na Madini !!

Mbunge wa Kigoma kusini Mh.David Kafulila  kwa mujibu wa kauli ya Werema, amedai kuwa George Simbachawene ambaye amerithi nafasi ya kiporo prof. Muhongo hafai kuwa Waziri wa Nishati na Madini kwa kuwa hana weledi wa kutosha kwa changamoto za Wizara hiyo ikiwemo soko la mafuta la dunia.

Aliongezea kwa kusema Muhongo alikuwa na weledi kwa nafasi yake tatizo alihusika kwenye kashfa ya ESCROW hivyo kupoteza uaminifu.

Chanzo: Mtanzania
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment