VIDEO: Asha Bakari Makame, CUF Hata Mshinde Vipi Hamatoingia Ikulu....

Akizungumza na watu wa mikoa miwili ya Pemba Gombani ya Kale Asha Bakari mwakilishi wa kuteuliwa katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar ameweka wazi Madamu Serikali ya Zanzibar ni serikali ya Kimapinduzi CUF haiwezi kuwapindua akimaanisha ''hata CUF ishinde vipi hawawezi kukabidhiwa serikali'' na kusisitiza kwamba Ikiwa wameshindwa 95 saivi ndio kabisa hawatowi serikali.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment