Gazeti la Mtazania Lampigia Goti Wema Sepetu Kumuomba Msamaha Hadharani

Baada ya story kuwa kubwa kuwa Wema Sepetu alimpeleka mpenzi wake wa zamani Diamond Mahakamani kwa kesi ya Madani ya Fedha gazeti la Mtanzania leo limeomba radhi kutokana na habari hiyo. 
Nukuu;
“Katika gazeti letu la Mtanzania toleo No. 7709 la Alhamisi Januari 22, mwaka huu, tuliandika kimakosa stori yenye kichwa cha habari ‘Wema Sepetu ampeleka Diamond Polisi’. Baada ya kufanya uchunguzi tumejiridhisha habari ile haikuwa na ukweli, kwani chanzo kilichotupatia kilitupotosha, hivyo kuleta usumbufu kwa msanii Wema pamoja na jamii.”
“Kutokana na hali hiyo, tunapenda kumwomba radhi Wema na familia yake. Siku zote sisi MTANZANIA tumekuwa makini katika kusimamia misingi ya habari za weledi na haki kwa jamii”.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment