Freeman Mbowe Atoa Msaada wa Gari ya Wagonjwa Jimbo la HAI


Mbunge wa Jimbo la HAI,,na Kiongozi wa kambi rasmi bungeni MH FREEMAN MBOWE ameendeleza juhudi zake katika kuokoa maisha wa watu wa jimbo lake ambapo wiki hii ametoa gari la wagonjwa kwa ajili ya watu wa jimbo lake.
Kutolewa kwa gari hilo itakuwa ni ukombozi mkubwa kwa wakazi wa Hai jimbo ambalo lina   mito na mabonde  ambayo huleta adha  kwa wakazi wa maeneo hayo na kushindwa kuwawaisha wagonjwa hospitali za teule ya Machame na ile ya Wilaya.
Kufuatia kutolewa kwa gari hilo la wagonjwa  mkazi mmoja wa kata ya Lyamungo Kati amesema itakuwa ni msaada mkubwa sana kwao maana itarahisisha kupeleka wagonjwa kutoka Kituo cha afya Lyamungo Hadi hospitali teule ya Machame
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment