Habari zilizotufikia hivi punde kutoka kwa Mwandishi wetu aliyopo eneo la tukio zinaeleza....
Watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wamevamia kituo cha Polisi ikwiriri Rufiji mkoani Pwani na kuua Polisi wawili na kupora silaha.
Habari kamili zitakujia hivi pund pamoja na picha za tukio zima Endelea kufuatilia taarifa zetu.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment