Lil Wayne Aishitaki Cash Money

Rapa Lil Wayne amefungua mashtaka dhidi ya rekodi lebo ya Cash Money, akiituhumu kuidai dola milioni 51.
Kwa mujibu wa kesi hiyo, Lil Wayne, 32, amesema Cash Money na CEO wake Bryan “Birdman” Williams wameshikilia mamilioni ya dola kwa ajili albamu yake ambayo haijazinduliwa ya The Carter V, TMZ iliripoti.
Lil Wayne amesema lebo hiyo ilipaswa kumlipa dola milioni 8 kwanza kwenye albamu yake, pamoja na dola milioni 2 baada ya kuachiwa. Albamu ilikamilika Desemba ila Lil Wayne amesema hajaona fedha yoyote.
Mwenyeji huyo wa New Orleans amedai alipaswa kumaliza mkataba wake na lebo na kupokea malipo ya dola milioni 51.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment