Diego Costa na Jordan watunishiana misuli

Wachezaji Jordan na Diego costa siku ya jumanne walitunishiana msuli kwenye mchezo wa nusu fainali wa kombe la ligi uliofanyika  Anfield na mchezo huo kumalizika kwa sare ya goli 1-1.
Mmoja wa wafanyakazi wa klabu ya Liverpool alimtenganisha kiungo huyo pamoja na mshambuliaji wa Chelsea wakati wakielekea kwenye vyumba vya kubadilishia nguo baada ya kipindi cha kwanza kumalizika.
Wachezaji hao hawakugombana bali walikuwa wanajibizana kwa maneno tu.


Mchezaji Henderson alikuwa anapinga kitendo  cha Diego cost  kumchezea faulu mchezaji Raheem Sterling wakati akielekea langoni mwa klabu ya Chelsea kusawazisha  goli.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment