Prof. Muhongo Ajiuzulu Shingo Upande Kutokana na Wapinzani wake Kumkalia 'KOO' na Hichi Ndicho Alichosema

Waziri wa nishati na Madini Prof. Muhongo amejiuzulu hivi punde kutokana na wingu zito lililokuwa likimuandama kufuatia uchotwaji wa mabilioni ya fedha akaunti ya Tegeta Escrow na hivyo kutakiwa kujiuzulu wadhifa huo.

Uamuzi aliochukua wakujiuzulu kwake, kwa mtizamo zipo siku 4 tu zilizokuwa zimebaki kwa bunge kuanza tena mjini Dodoma ambapo tarehe 27 January binge linaanza huku baadhi ya waibuaji na wasio waibuaji wakiwa wameapa endapo hadi bunge lingeanza hajawajibishwa wangemwajibisha

Kupitia mitandao ya kijamii siku chache zilizopita Mbunge wa Arusha Mjini Godbles Lema kupitia mtandao wake wa tweet alisema kuwa endapo Muhongo na wenzie hawatawajibishwa Bunge likianza atafukuzwa Bungeni kwa kupambana na viongozi hao waliokuwa wakikabiliwa na kashfa ya uchotwaji wa fedha akaunti ya Escrow.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment