Mh. John Mnyika Apasua Jipu Jipya Kuhusu Mchakato wa Katiba Atoa Sababu Tata za Kuahirishwa Mchakato Huo..

Mbunge wa Jimbo la Ubungo Mh. John Mnyika amewasilisha kwa katibu wa Bunge taarifa ya Hoja Binafsi akidai kwamba kuna udahifu katika mchakato wa mabadiliko ya katiba ili Bunge lijadili udhaifu wa ukiukwaji wa sheria katioka mchakato huo ili ipitishe azimio la kuhairisha mchakato huo mpaka madhaifu ya msingi yatakaposhughulikiwa


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment