Club Olimpia ya Sinza Mori Yawaka Moto

Baa ijulikanayo kwa jina la CLUB OLIMPIA iliyopo eneo la SINZA MORI jijini Dar es salaam imeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo Huku chanzo kikiwa hakijafahamika mpaka sasa lakini mashuhuda wanahisi imetokana na shoti ya umeme. .

Mashuhuda wanasema moto ulianza kuwaka saa 11 alfajiri, Askari wa zimamoto walifika eneo hilo katika jitihada za uokoaji lakini tayari moto huo ulikuwa mkubwa.

Mmiliki wa Club hiyo Samwel Mwaisonga anasema hasara iliyotokana na moto huo ni kubwa kwa sababu hata vitu ambavyo viliweza kuokolewa navyo viliibiwa.







Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment