Picha ya Mtoto wa Will Smith ‘Willow’ Yaleta Utata mMandaoni, Instagram Waifuata...

Msanii wa pop Willow Smith amezua utata kwenye mitandao baada ya kuweka picha inayoonyesha umbo la maziwa yake. Willow mwenye miaka 14 ambaye ni mtoto wa mwigizaji Will Smith na Jada amepokea mitazamo hasi kuhusu picha hii huku watu wengine wakilaumu malezi ya wazazi wake.
Baada ya muda mfupi picha hio ilitolewa kwenye kurasa yake ya instagram.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment