Breaking News: Kimbunga Chaua Wawili, 30 Wajeruhiwa Kisiwani Goziba, Bukoba Unknown 11:07 Add Comment Edit Watu wawili wamefariki dunia baada ya kimbunga kupiga katika Kisiwa cha Goziba na kusababisha baadhi ya mitumbwi kupinduka katika Ziwa V... Read More
Wabunge Wamjia Juu Waziri wa Fedha Saada Mkuya Wataka Afukuzwe Kutokana Kukiuka Katiba Unknown 10:48 Add Comment Edit Bunge limeendelea kuwa moto kwa viongozi wakati wabunge wakiwalipua mawaziri, huku wakimtaka Waziri wa Fedha, Saada Mkuya kufukuzwa kuto... Read More
Picha 15: Baba yao P Square Alifariki Nov 2014, Kazikwa Jana Jan 30, 2015. Unknown 09:16 Add Comment Edit Mzee Moses Okoye, baba mzazi wa mastaa wa muziki kutoka Nigeria, Peter na Paul Okoyewa kundia la ‘P Square’ alifariki November 25 2014 ... Read More
Serikali Imewaomba Radhi Wananchi Waliokumbwa na Kipigo kutoka kwa Polisi katika Maandamano ya (CUF) Unknown 08:46 Add Comment Edit Serikali ya Tanzania imewaomba radhi wananchi wote waliokumbwa na kadhia ya mabomu na vipigo kutoka kwa polisi katika maandamano ya Chama... Read More
Mbatia: Jeshi la Polisi Lifanyiwe Marekebisho ya Kimfumo ili Kuboresha Utendaji Wake Unknown 08:36 Add Comment Edit Serikali imeshauriwa jeshi la polisi lifanyiwe marekebisho ya kimfumo ili kuboresha utendaji wake ambao kwa sasa unalalamikiwa kwa sehemu... Read More
Wafuasi 30 wa CUF Wapata Dhamana Kisutu Unknown 07:19 Add Comment Edit Wafuasi 30 wa Chama cha Wananchi CUF wanaokabiliwa na mashtaka matatu ya kula njama na kukaidi amri halali ya polisi na kufanya maa... Read More
Halima Mdee Amewalipua Chenge na Idd Simba Kuhusu ATCL, UDA, na PRIDE Unknown 18:33 Add Comment Edit Mbunge wa Kawe Halima Mdee amewataja baadhi ya Viongozi katika kashfa mpya ya ATCL, UDA na PRIDE. Ni katika suala la mikataba mibaya ya ... Read More
Zitto Kabwe Ailipua Airtel Bungeni Dhidi ya TTCL Unknown 18:09 Add Comment Edit Hatimae jioni hii bunge limepata taarifa rasmi ya umiliki wa share za TTCL asilimia 35 kwa Airtel. Sasa muda umewadia wa ukweli kujulika... Read More
Lil Wayne Aishitaki Cash Money Unknown 11:26 Add Comment Edit Rapa Lil Wayne amefungua mashtaka dhidi ya rekodi lebo ya Cash Money, akiituhumu kuidai dola milioni 51. Kwa mujibu wa kesi hiyo, Lil W... Read More
Gonola Akanusha Kujitoa Uraisi FIFA Unknown 11:21 Add Comment Edit Gwiji wa soka kutoka nchini Ufaransa, David Ginola amekanusha taarifa za kujiondoa kwenye kinyang’anyoro cha urais wa shirikisho la soka ... Read More
Crouch Akataa Kurejea London Kujiunga na Bosi Wake Unknown 11:19 Add Comment Edit Mshambuliaji kutoka nchini England, Peter James Crouch amezima ndoto za aliyekua meneja wake Tony Pulis za kutaka kumuhamisha huko Stoke ... Read More
Murray Afika Fainali 2015 Australian Open Unknown 11:17 Add Comment Edit Andy Murray kutoka Uingereza amefanikiwa kutinga katika hatua ya fainali ya michuano ya Australian Open baada ya kumshinda mpinzani wake ... Read More
Taswira Kutoka Bungeni Dodoma ... Unknown 11:08 Add Comment Edit Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa akielezwa jambo na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. Willia... Read More
CHADEMA Kufuatilia Majina ya Waliopata Fedha za Escrow Kupitia Stanbic Bank Unknown 10:53 Add Comment Edit Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini la CHADEMA amesema kuna viashiria kuwa baadhi ya fedha za Escrow zilizolipwa kupitia bank ya Stanbic, zili... Read More
Wafuasi 30 wa Prof Ibrahim Lipumba Wasomewa Mashataka Unknown 10:39 Add Comment Edit Wanachama 30 wa chama cha wananchi (CUF) pamoja na naibu mkurugenzi wa oganaizesheni, uchaguzi na bunge Shaweji Mketo na mkurugenzi wa m... Read More
Pinda Abanwa Kuhusu BVR, Vitambulisho vya Taifa Unknown 10:24 Add Comment Edit Waziri Mkuu, Mizengo Pinda leo amebanwa bungeni kuhusu mkanganyiko uliopo katika mpango wa uandikishwaji wa daftari la wapigakura kutumi... Read More
Lipumba Agonganisha Mihimili Yote ya Nchi Unknown 10:15 Add Comment Edit Mjadala kuhusu sakata la polisi kumpiga na kumtia mbaroni Profesa Ibrahim Lipumba jana ulikuwa mkali, lakini uliweka bayana kugongana kw... Read More
PAC Yaibua Ufisadi Mwingine Unknown 10:05 Add Comment Edit Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeanika madudu na kashfa za kutisha katika ripoti maalumu ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa He... Read More
Lipumba: Nipo Salama Msiwe na Msiwe Wasi UKAWA Unknown 10:32 Add Comment Edit Afya ya Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Prof. Ibrahim Lipumba imeelezwa kuimarika na kisha kufikishwa mahakama ya hakimu Mkazi Kisut... Read More
Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, January 29, 2015 Unknown 10:17 Add Comment Edit Leo Bunge linaendelea pia, Kama jana Spika alivyosema, Leo Bunge litaanza ratiba upya. Ratiba inaonesha hivi; · Kipindi cha Maswali ya Kaw... Read More
Chama cha ACT, Tanzania Yatoa Taarifa kwa Umma Juu ya Kudhalilishwa Lipumba Unknown 17:23 Add Comment Edit TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI, CHAMA cha Alliance For Change and Transparance( ACT- Tanzania.)kiki zingatia msingi wa utu na uzalendo ... Read More
Club Olimpia ya Sinza Mori Yawaka Moto Unknown 15:05 Add Comment Edit Baa ijulikanayo kwa jina la CLUB OLIMPIA iliyopo eneo la SINZA MORI jijini Dar es salaam imeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo Huku cha... Read More
Shule Binafsi Zapigwa Stop Na Serikali Kurudisha Wanafunzi Nyumbani Wasiofikia Wastani Unknown 14:35 Add Comment Edit Serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania, kupitia wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi, imezipiga marufuku shule binafsi kuwafukuza ... Read More
Breaking News: Prof. Lipumba Hali Yake Tete Akimbizwa Hospitali Unknown 14:02 Add Comment Edit Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba amekimbizwa leo Hospitali ya UN Clinic ya Kinondoni, Dar, baada ya presha kushuka akiwa makao mak... Read More
VIDEO: Asha Bakari Makame, CUF Hata Mshinde Vipi Hamatoingia Ikulu.... Unknown 13:42 Add Comment Edit Akizungumza na watu wa mikoa miwili ya Pemba Gombani ya Kale Asha Bakari mwakilishi wa kuteuliwa katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar a... Read More
Dr Slaa Alaani Kupigwa, Kuteswa na Kukamatwa Professor Lipumba !!.. Unknown 13:08 Add Comment Edit Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa amelaani vikali unyama aliofanyiwa Mwenyekiti wa CUF Professor Ibrahim Lipumba hapo jana. Dr Sla... Read More