Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) leo vimetoa msimamo wao juu ya njama za kuahirisha Uchaguzi Mkuu unaotakiwa kufanyi...
Read More
Home / Archive for April 2015

Lema: Zitto Hana Ubavu Kwetu
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimewatoa hofu wanachama wake mkoani Shinyanga kikidai propaganda zinazoenezwa na Kiongozi Mk...
Read More

NCCR - Mageuzi Yawasilisha Hoja ya Kujitoa UKAWA; CUF Watoa Masharti Magumu
KIKAO cha viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kimeshindwa kuendelea baada ya baadhi ya wajumbe kushindwa ku...
Read More
(1).jpg)
Serikali ya Tanzania Yaikataa Bajeti ya Fedha 2015/2016
SERIKALI KUTANGAZA BAJETI YAKE YA MWAKA WA FEDHA 2015/16 SHILINGI TRILIONI 22,480.4 HUKU FEDHA NA MIRADI YA MAENDELEO ZIKIWA SHILINGI TRI...
Read More

Escrow Yampa Tuzo Kafulila
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), amekabidhiwa tuzo ya utetezi bora wa haki za binadamu kwa mwaka 2015 kama njia ya ...
Read More

Hussein Machozi Kucheza Ligi Kuu Tanzania Bara Msimu Ujao.
Star wa bongo flava anayeiwakilisha kanda ya ziwa, Hussein Machozi yuko kwenye mazoezi makali ya kujiweka sawa kwa ajili ya kukipiga na mo...
Read More

Orodha ya Majina Wateule wa Kilimanjaro Music Awards 2015
Orodha ya wasanii waliongia katika kinyang’anyiro cha Kilimanjaro Music Awards 2015: MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA- KIUME 1. Mze...
Read More

Naibu Spika wa Bunge Azirai Ghafla Baada ya Kushambuliwa kwa Hoja
Naibu spika wa Bunge la Kaunti ya Kisumu Bi Pamela Omino alizirai na kukimbizwa hospitalini baada ya kuvutana na wawakilishi wa kaunti h...
Read More

Msajili Avipiga Mkwara CCM, Chadema, CUF
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amevitaka vyama kurekebisha katiba zao kwenye kipengele kinachoruhusu kuanzishwa kwa vi...
Read More

IGP Apiga Marufuku Vikundi vya Ulinzi vya Vyama vya Siasa
INSPEKTA Generali wa Polisi (IGP), Ernest Mangu amepiga marufuku vikundi vya ulinzi vya vyama vya siasa ambavyo vina muonekano na muundo ...
Read More

Breaking News: Basi la Unique Lapata Ajali Lagongana na Lori na Kusababisha Vifo vya Watu 10 na Majeruhi 51
Habari tulizozipata hivi punde kutoka shinyanga zinataarifu kuwa jeshi la Polisi wakisaidiana na raia wanaendelea kuokoa majeruhi na mai...
Read More

Zitto Awajibu CHADEMA Juu ya Fedha za Ziara za ACT- Wazalendo Mikoani
Kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwa anashangazwa na viongozi wa CHADEMA kuhoji anakotoa fedha za kugharamia mikutano na ziara za A...
Read More

Mwigulu Nchemba Afurahia Kufananishwa na Sokoine
Naibu waziri wa fedha na mbunge wa jimbo la Iramba , Mwigulu Lameck Nchemba amesema anafurahishwa na yeye kufananishwa na aliyekua waziri ...
Read More

Dr Slaa: CCM Inatuhujumu
Katibu mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amesema Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kuandikisha wapigakura kwenye mikoa ambayo ni ng...
Read More

Suma Mnazaleti Awekwa Kitomoto kwa Kukejeli Ujumbe wa Mabeste, Aomba Radhi
Rapper Suma Mnazaleti yupo kwenye kitimoto. Ni baada ya kuandika maneno ya kukejeli ujumbe wa Mabeste aliyeomba kusaidiwa na mashabiki n...
Read More

New Music: Ney Lee – Sophia (Female Cover)
Baada ya Peter Msechu na Quick Rocka kufanya cover za wimbo wa Ben Pol, Sophia na sasa ni zamu ya mwanadada Ney Lee. . Isikilize hapo chin...
Read More

Zitto Afikisha Kilio cha Wananchi kwa Serikali
Chama cha ACT wazalendo kimeitaka serikali kutoa taarifa ya tume ya uchunguzi wa ajali za barabarani zilizofanyiwa utafiti ili kuweza kup...
Read More

Mbowe Aionya Serikali
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimedai kuwa hakitakubali serikali ya awamu ya nne kuongezewa muda wa kukaa madarakani kutokana...
Read More

Diamond Platnumz Agundua Uchafu wa Mpenzi Wake, Zari The Boss Lady na Hii Ndio Hatua Aliyoichukua Sasa..
Hasira ya kibuti? Ubuyu kutoka nyumba ya jirani, Kampala nchini Uganda unaeleza kuwa mwanaume Farouk Sempala aliyewahi kuwa mpenzi wa mw...
Read More

Waziri Chikawe Ashukiwa
SIKU moja baada wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, kutishia kuzifuta asasi za kiraia na kidini zinazohamasisha wananchi...
Read More

Ngeleja Azima Hoja ya Escrow
MBUNGE wa Sengerema, mkoani Mwanza, Bw. William Ngeleja, amesema wapinzani wake kisiasa wanapoteza muda wao wanapotoa hoja dhaifu kwa wana...
Read More
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)