Jokate Akanusha Kuwa na Mahusiano na Millard Ayo

Jokate  na Milard Ayo katika Pozi la Pamoja
Mwanamitindo Jokate Mwegelo amekanusha vilivyo uvumi ulioenea kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na mtangazaji Millard Ayo wa Clouds FM.
Uvumi huo ulianzia mitandaoni pale ambapo Jokate juzikati, aliweka plain ukaribu wake na Millard ambaye ni mtangazaji mwenye mvuto mkubwa kwa jamii.
“Millard ni mshkaji, namkubali kutokana na uchapakazi wake, anajua kujituma na ni mpambanaji lakini nje ya hapo hakuna cha zaidi,” alisema Jokate.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment