Yanga Yataka Kombe la Muungano

Makamu mwenyekiti wa klabu ya Yanga Clemence Sanga akiongea na mwenyekiti wa klabu hiyo
Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Clement Sanga amesema kuna haja ya kurejeshwa michuano ya Kombe la Muungano au ile ya Super 8.
Sanga alizungumza baada ya Yanga kuondolewa katika michuano ya kombe la Mapinduzi kwa kufungwa na JKU kwa bao 1-0 katika hatua ya robo fainali.
Sanga alisema kwa ujumla michuano hiyo ilikuwa na msisimko na ushindani mkubwa lakini kikubwa ambacho amekibaini huko ni kuweko kwa wachezaji wengi chipukizi kwenye klabu za Zanzibar zilizoshiriki michuano hiyo msimu huu.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment