Tangazo Maalumu: Fursa Kwa Watangazaji na Waandishi wa Habari Tanzania

Super Brain Media inapenda kukutangazia nafasi ya kipekee kwa wale wote wenye uwezo wa kufanya vipindi vya Television (TV), Radiokutuletea Demo ya kipindi ambacho kitakuwa kinamaadili mema kwa Jamii kwa ujumla na kiwe hakijawahi kufanyika popote pale.

SIFA
1. Uwe unataaluma ya Uandishi habari na Utangazaji.
2. Uwe na Umri wa Miaka 18-35.
3. Uwe na uwezo wa Kuripoti habari na Kuandaa habari.
4. Uwe na uwezo wa kutumia Computer Applications pamoja na Online Media.

Maombi pamoja na CV yanaweza kuwasilishwa kupitia Email; superbrainsmedia2015@gmail.com au unaweza fika moja kwa moja katika ofisi zetu zilipo maeneo ya Tegeta Kibaoni Jijini Dar es Salaam ndani ya Chuo cha Uandishi wa Habari kwa Vitendo (PSJ).

Kwa mawasiliano zaidi waweza kutupigia kwa namba zifuato;

+255 717 805 459
+255 684 908 677

Angalizo muda wa kupiga simu uzingatiwe ni kuanzia saa 8:30 Asubuhi mpaka saa 4:30 Alasiri Kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa. Usibeep wala kutuma sms hazitojibiwa.

Mwisho wa kutuma maombi ni 27.03.2015 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment