Salaam ameng’aka kupitia social networks zake, and ameenda mbali zaidi kwa kusema wamevumilia wamechoka kinachofatia ni kuwapeleka mahakamani
“@iTunes the company below as #Rockstar4000 who act as they have license to sell the songs of my artist @diamondplatnumz on @iTunes they are THIEVES. They don’t have any contract or any relationship with us this is Unacceptable to let companies sell contents of the Artists without any agreement both sides.
“Wizi kwa Wasanii wetu HAUKUBALIKI. Naomba hii Kampuni ya Rockstar4000 iachane na Wizi wake wa kuuza kazi za @diamondplatnumz hatuna makubaliano yoyote na kampuni yako kuuza Nyimbo za @diamondplatnumz Tutakutana Mahakamani. Uvumilivu umetushinda.” Ameandika Salaam kupitia Instagram.
Uongozi wa kampuni hiyo ya Rock star 4000, haukuwa tayari kuzungumzia swala hilo ukiahidi kulifuatilia na kulitolea majibu ya kina.
0 comments:
Post a Comment