Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida ahukumiwa kwenda jela miaka 2 au kulipa faini ya Tsh 70,000 (elfu sabini ) baada ya kukiri kosa la kusababisha kifo kwa uendeshaji wa kizembe. Hii metokea katika Mahakama ya Hakimu mkazi Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida.
Chanzo: Gazeti la Nipashe.
0 comments:
Post a Comment