Breaking News, Gazeti la WAJIBIKA: Lowasa Hafai Urais

Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA), kimempasua wazi waziri mkuu aliyejiuzulu, Mheshimiwa Edward Lowasa Ngonyai kuwa hafai kuwa Rais wa Tanzania kwa madai kuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wakitajwa katikaorodha ya mafisadi sugu, wajibika limebaini..........Pata nakala yako ya WAJIBIKA hii leo uweze kupata habari kamili huku vichwa vingine vya habari zikiwa vimeandikwa

  • Sumaye anachukia rushwa au unafiki ?
  • Kinana apondwa aitwa Mchochezi.
  • Ofisi ya waziri Mkuu yatafuna bilioni 32/- chakula cha njaa
PATA NAKALA YAKO KWA SH. 800/- TU, SASA UPATE KUJUA ZAIDI KWANI GAZETI LA WAJIBIKA HUTOKA KILA JUMATATU NA KUSOMWA JUMAZIMA.....
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment