Ni Dhahiri Siyo Nguvu ya Fedha tu, Itakayompeleka Ikulu Lowasa Kuna Mkono wa Mtu

MBALI na fedha kutajwa kuwa ndiyo inayompa nguvu Mbunge wa Monduli, Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowasa, uzinduzi wa 'Safari ya matumaini' juzi umeridhihirisha nguvu nyingine kubwa iliyopo nyuma yake ambayo ni umma na imani ya watu, wajibika limebaini.

Kauli ya Mheshimiwa Lowasa, "nani anayeweza kuzuia mafuriko kwa mkono" imethibitika pasipo shaka juzi katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid, mjini Arusha ambapo wananchi walifurika kila kona hadi wakawa wanakanyagana.

Mheshimiwa LOwasa mwenyewe amejitaja kuwa ana ari, shauku na uwezo katika kutubutu kufanya maamuzi magumu, thabiti, makini bila kuyumba na kwamba anao ubunifu na upeo mkubwa, uongozi shirikishi na wenye kuzingatia muda katikakutekeleza majukumu.

Credit: Gazeti La Wajibika
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment