PUSH MUZIKI PROJECT: Kwa Wale Wanaohitaji Kujisajili Fomu Zipo Teyar Bofya hapa kwa Maelezo Zaidi



Ebhaanaeee hayawi hayawi sasa yamekuwa Sbm radio24 kushirikiana na Kwetu Studios​ production wanakuletea push muziki project 2015.

Namna ya kushiriki tafuta gazeti la wajibika kitaani kwako....kisha ndani ya hilo gazeti ukurasa wa 18 utakuta tangazo kamili pamoja na fomu ya ushiriki unachotakiwa kufanya kikate kile kipande kilichoandikwa FOMU YA USHIRIKI kisha kijaze halafu tuletee ofisini kwetu hapa tegeta kibaoni

kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa namba zifuatazo +255 653 114 376 / +255 718 595 642. Ewe msanii huu ndio wakati wako wa kuwa superstar kupitia kazi ya kuimba changamkia fursa kabla milango ya usaili kufungwa.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment