Kampuni ya guardian Ltd inayochapisha magazeti ya Nipashe, Sema Usikike, Guardian na Taifa Letu leo hii imemtambulisha rasmi Mkurugenzi Mtendaji mpya, Bwana Richard Mgamba.![]() |
| Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Bwana Kiondo Mshana |
Nafasi hiyo awali ilikuwa imekaimiwa na mkurugenzi mtendaji wa ITV/Radio One Joyce Muhavile baada ya aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji kustaafu mwanzoni mwa mwaka huu, Bwana Kiondo Mshana.
![]() |
| Mkurugenzi mtendaji mpya wa Guardin, Bwana Richard Mgamba, aliyoopo upande wa kulia akipokea Tuzo kutoka CNN 2008. Picha kutoka Maktba |
Akiongea na wafanyakazi wa Guardian, Mgamba alisema atahakikisha gazeti la Nipashe linafanya vizuri kama zamani.
Habari kamili na picha zitakujia hivi punde usikae mbali


0 comments:
Post a Comment