Albamu Mpya ya Lil Wayne ipo Sokoni


Ijumaa ya july 3 Mlaki Lil Wayne ameachia albamu yake mpya mara baada ya kukaa kimya kwa muda.
Albamu hiyo iliyokuwa inasubiriwa na mashabiki na wadau wengi wa muziki inaitwa Free Weezy.
Albamu Mpya ya Lil Wayne ipo Sokoni
Kwa mara ya kwanza Lil Wayne ameamua kuachia albamu hiyo kwa kutumia mtandao na mfumo mpya ulianzishwa na Jay Z unaojulikana kama Tidal ambao ni mfumo unaotarajiwa kuwafaidisha wasanii wengi kwa upande wa mauzo.
Albamu ya Free Weez inajumla ya nyimbo 15, na Lil Wyne amewashirikisha wakali kama , Wiz Khalifa, Young Jeezy, Jake Throth, na Cory Gunz .
Share on Google Plus

About HAPPILICIOUS

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment