Breaking News: Mwenyekiti wa CCM Ahukumiwa Kwenda Jela Miaka 2

Singida, Tanzania. 
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida ahukumiwa kwenda jela miaka 2 au kulipa faini ya Tsh 70,000 (elfu sabini ) baada ya kukiri kosa la kusababisha kifo kwa uendeshaji wa kizembe. Hii metokea katika Mahakama ya Hakimu mkazi Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida.

Chanzo: Gazeti la Nipashe.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment