Breaking News: Fuso Lagongana na Hiace na Kusababisha Watu Wanne Kufariki Dunia na 11 Majeruhi Eneo la Kikavu


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro Godfrey Kamwela, ameithibitishia Sbm Radio kutokea kwa tukio hilo, lakini hadi sasa maofisa wa Jeshi hilo walioenda katika aneo la tukio hawajawatoa taarifa kamili ikiwa ni pamoja na idadi kamili ya watu waliokufa.

"Ni kweli kuna taarifa ya ajali lakini maofisa wetu waliokwenda kwenye eneo la tukio hapo Kikavu hawajatuletea taarifa kamili hadi sasa, naomba baada ya muda muwasiliane na sisi tena ili tuwapatie taarifa kamili" alieleza Kamanda Kamwela.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa ajali hiyo iliyotokea katika eneo la Kikavu, Hai mkoani humo imeua watu watano..



Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment